MAN U YAMTENGEA BALE EURO MILIONI 90

MADRID,HISPANIA.

KLABU bungwa ya ulaya,Real Madrid imepanga kumpiga beo nyota wake waliomsajili kwa dau kubwa na kuvunja  gharama ya usajili duniani Gareth Bale (pichani).

Ripoti zinasema kuwa Madrid ambao ni mabingwa mara tisa wa micuano ya ligi ya mabingwa ulaya wanafikiri kutumia pesa watakayopata kwa kumuuza nyota huyo kumnunua Eden Hazard wa Chelsea.

Madrid inafikiri kuwa Manu U ndio timu pekee iatakayoweza kumchukua staa huyo wa tim,u ya taifa ya Wailes,kwani ripoti kutoka ndami ya miamba hiyo ya Old Trafford zinasema kuwa mametenga Euro milini 90 ili kukamilisha usajili wa kiungo huyo wazamani wa klabu ya tottenham ya Uingereza.

Aidha hayo yanakuja mara baada ya kocha mkuu wa Real Madrid,Carlo Ancerlot kusema kuwa mchezaji huyo hafiti katika mfumo anaoutumia.EmoticonEmoticon